KILLANEKELI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 295
- 121
Na hoja yako ya udini haina mashiko, mimi ni mkristu kwenye department niliyokuwepo kulikuwa kuna wahadhiri wa tatu wa kiislamu wawili ni product ya udsm na mmoja kasoma nje anaitwa Natasha Issa Shivji ni wahadhiri wazuri sijapata kuona, umesikia we boya