Nilisha rekebisha mkuu@Siasa mbaya sana ona sasa inavyokuharibu hadi unashindwa kufuatilia mambo ipasavyo. Leo ni tarehe 7 mwezi wa 5. Hiyo tarehe uliyoitaja ilishapita
Kwa UEFA city ni underdog, Chelsea bingwa wa UEFA 2020/2021Dondosha utabiri wako kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa ulaya(2020-2021) Kati ya Chelsea na Man city itakayopigwa terehe 29 mwezi huu wa 5 katika dimba la Attaturk Olympic stadium huko Instanbul Uturuki.
Pia Kuna wanaosema Chelsea ni underdog kwa Man city nao waje watupe sababu zao hapa.
Leo vipi, Chelsea B imewanyima ubingwa, tukiweka Chelsea first team Instabul mtafurukuta kweli???City atakuwa Bingwa.. No way!
Hii sio determination ya Final mzee.. Kila Kocha alichezesha team B.Leo vipi, Chelsea B imewanyima ubingwa, tukiweka Chelsea first team Instabul mtafurukuta kweli???
City kafanya rotation wachezaji 9, Chelsea 5, bado refa kawanyima City penalti na Aguero kuonesha dharau aliyonayo kwa Chelsea akaamua kuwapa zawadi ile penalti yake, tar 29 ndio mtajua Man City ni jini gani.Leo vipi, Chelsea B imewanyima ubingwa, tukiweka Chelsea first team Instabul mtafurukuta kweli???
City 4 .Chelsea 1.Man City 0 Chelsea 2
kumbe rotation tu lakini first team isn't?City kafanya rotation wachezaji 9, Chelsea 5, bado refa kawanyima City penalti na Aguero kuonesha dharau aliyonayo kwa Chelsea akaamua kuwapa zawadi ile penalti yake, tar 29 ndio mtajua Man City ni jini gani.
First team ya Chelsea ni ipi?Leo vipi, Chelsea B imewanyima ubingwa, tukiweka Chelsea first team Instabul mtafurukuta kweli???