UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Dondosha utabiri wako kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa ulaya(2020-2021) Kati ya Chelsea na Man city itakayopigwa terehe 29 mwezi huu wa 5 katika dimba la Attaturk Olympic stadium huko Instanbul Uturuki.

Pia Kuna wanaosema Chelsea ni underdog kwa Man city nao waje watupe sababu zao hapa.
 
Kwa UEFA city ni underdog, Chelsea bingwa wa UEFA 2020/2021

Kama unabisha weka jiwe niweke laki!
 
Leo vipi, Chelsea B imewanyima ubingwa, tukiweka Chelsea first team Instabul mtafurukuta kweli???
City kafanya rotation wachezaji 9, Chelsea 5, bado refa kawanyima City penalti na Aguero kuonesha dharau aliyonayo kwa Chelsea akaamua kuwapa zawadi ile penalti yake, tar 29 ndio mtajua Man City ni jini gani.
 
kumbe rotation tu lakini first team isn't?
 
Back
Top Bottom