TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Na mimi nasubiri jibuChaneli gani itaonesha mpira king'amuzi cha azam
Nendeni vibanda umiza tu au subirini mechi ikianza muanze kusearch chaneli Za Iganda,Kenya na Zile za Malawi na Rwanda hapa kwetu sidhani Kama Kuna Chanel itaonyeshaChannel gani kwenye kung'amuzi cha Azam wataonyesha fainali hii?
Ngoja tuone[emoji1] [emoji1] Dunian hamnaga luck.. Akibeba #Chelsea hizo ni juhudi zake
Luck ni neno la kujifariji.
Vipi kaka umemuona Kante, je unajengine kumuhusu Kante.Madrid wale wazee hawawezi tena kukimbia, the likes of Modric and Toni Kroos plus Marcelo na Ramos kujisifu mmewatoa wale nawashangaa sana, kama msingewatoa ndio ningewashangaa zaidi.
Hizo game ulizosema Chelsea alimfunga City Guardiola hakupanga kikosi cha maangamizi, ngojeni jumamosi ndio mtaiona City ya maangamizi na aina ya mpira watakaocheza, hamtapewa nafasi ya kupiga hata pasi tano, wakipoteza mpira wanakaba kama nyuki mtauachia mpira bila kupenda.
Nataka huyo Kante awepo halafu muone kama atafurukuta, City wanacheza kama machine, hawamtegemei mtu mmoja wale.
Nyieee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu ni mpiraMwanzo mpira utaanza taratibu kwa timu zote kusomana, then naiona Chelsea ikipaki sana basi hivyo Man City watamiliki mpira muda mwingi wa mchezo, as soon as Man City wakipata goli la mapema ndio Chelsea watafunguka nao kwenda kushambulia hivyo kuacha gaps kwenye defence yao, mwisho wa siku Man City wataibuka na ushindi mnono wa magoli zaidi ya mawili.
Heheheheheh kalumanzila pole Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanzo mpira utaanza taratibu kwa timu zote kusomana, then naiona Chelsea ikipaki sana basi hivyo Man City watamiliki mpira muda mwingi wa mchezo, as soon as Man City wakipata goli la mapema ndio Chelsea watafunguka nao kwenda kushambulia hivyo kuacha gaps kwenye defence yao, mwisho wa siku Man City wataibuka na ushindi mnono wa magoli zaidi ya mawili.
Safi sanaNikiwa kama mdau wa Liverpool. Naamini Chelsea atabeba ndoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]Man city 3 - 1 chelsea
Come on ze cityzen
Thomas Tuchel anakutakia usiku mwemaCity kafanya rotation wachezaji 9, Chelsea 5, bado refa kawanyima City penalti na Aguero kuonesha dharau aliyonayo kwa Chelsea akaamua kuwapa zawadi ile penalti yake, tar 29 ndio mtajua Man City ni jini gani.
Ulichokisema kwa Kante nimekiona mwenyeweSijasema Kante peke yake anaweza kuwazuia,ila uwezo wa Kante una mchango mkubwa kwenye mafanikio ya Chelsea msimu huu labda kama unataka kubishana.
Mwezi uliopita ndani ya wiki moja Man City ilifungwa mara mbili (EPL na nusu fainali ya FA) na sababu kubwa ilikuwa Kante,ndani ya mwezi huu wa Madrid kabanwa kwake na kapigwa darajani sababu kubwa ni huyo huyo Kante.
Kante machine nyingine kabisa anaweza kuharibu upepo wa Man City na kama mfuatiliaji mzuri wa EPL ktk half ya pili ya EPL ukitaja wachezaji watatu walio perform huwezi kuacha kumtaja Kante.
So Kante hasipokiwepo ushindi wa Man City utakuwa mwepesi sana.