UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Channel gani kwenye kung'amuzi cha Azam wataonyesha fainali hii?
Nendeni vibanda umiza tu au subirini mechi ikianza muanze kusearch chaneli Za Iganda,Kenya na Zile za Malawi na Rwanda hapa kwetu sidhani Kama Kuna Chanel itaonyesha
 
Madrid wale wazee hawawezi tena kukimbia, the likes of Modric and Toni Kroos plus Marcelo na Ramos kujisifu mmewatoa wale nawashangaa sana, kama msingewatoa ndio ningewashangaa zaidi.

Hizo game ulizosema Chelsea alimfunga City Guardiola hakupanga kikosi cha maangamizi, ngojeni jumamosi ndio mtaiona City ya maangamizi na aina ya mpira watakaocheza, hamtapewa nafasi ya kupiga hata pasi tano, wakipoteza mpira wanakaba kama nyuki mtauachia mpira bila kupenda.

Nataka huyo Kante awepo halafu muone kama atafurukuta, City wanacheza kama machine, hawamtegemei mtu mmoja wale.
Vipi kaka umemuona Kante, je unajengine kumuhusu Kante.
 
Chelsea are champions of EUROPE
FB_IMG_1622322332253.jpg
FB_IMG_1622322323362.jpg
 
Mwanzo mpira utaanza taratibu kwa timu zote kusomana, then naiona Chelsea ikipaki sana basi hivyo Man City watamiliki mpira muda mwingi wa mchezo, as soon as Man City wakipata goli la mapema ndio Chelsea watafunguka nao kwenda kushambulia hivyo kuacha gaps kwenye defence yao, mwisho wa siku Man City wataibuka na ushindi mnono wa magoli zaidi ya mawili.
Nyieee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu ni mpira
 
Mwanzo mpira utaanza taratibu kwa timu zote kusomana, then naiona Chelsea ikipaki sana basi hivyo Man City watamiliki mpira muda mwingi wa mchezo, as soon as Man City wakipata goli la mapema ndio Chelsea watafunguka nao kwenda kushambulia hivyo kuacha gaps kwenye defence yao, mwisho wa siku Man City wataibuka na ushindi mnono wa magoli zaidi ya mawili.
Heheheheheh kalumanzila pole Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijasema Kante peke yake anaweza kuwazuia,ila uwezo wa Kante una mchango mkubwa kwenye mafanikio ya Chelsea msimu huu labda kama unataka kubishana.

Mwezi uliopita ndani ya wiki moja Man City ilifungwa mara mbili (EPL na nusu fainali ya FA) na sababu kubwa ilikuwa Kante,ndani ya mwezi huu wa Madrid kabanwa kwake na kapigwa darajani sababu kubwa ni huyo huyo Kante.

Kante machine nyingine kabisa anaweza kuharibu upepo wa Man City na kama mfuatiliaji mzuri wa EPL ktk half ya pili ya EPL ukitaja wachezaji watatu walio perform huwezi kuacha kumtaja Kante.

So Kante hasipokiwepo ushindi wa Man City utakuwa mwepesi sana.
Ulichokisema kwa Kante nimekiona mwenyewe
 
Back
Top Bottom