UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Mkuu ulitabiri vyema sana, wananchi wamemiliki mpira, ndoo wameisikilizia kwa jirani.

Kante kawa player of the match
 
Lakini tukumbuke kua, ushindi wa Chelsea fainali hauondoi ubora alionao pep. Maan nimeona kuna wana michezo wanzangu wanambeza mwamba.
 
City kafanya rotation wachezaji 9, Chelsea 5, bado refa kawanyima City penalti na Aguero kuonesha dharau aliyonayo kwa Chelsea akaamua kuwapa zawadi ile penalti yake, tar 29 ndio mtajua Man City ni jini gani.
Ptuuuuhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…