UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Jana city 5-0 everton
Villa 2-1 chelsea
Twote walkua na vikosi vya maangamizi yaani ile first eleven ya uhakika City watakua na possession kubwaa ila ze bluuz watakua na Tactics nyingi mwisho wa siku watachukua ndoo[emoji91] kama namuona kante atavyoupiga mwingi pale kati
Mkuu ulitabiri vyema sana, wananchi wamemiliki mpira, ndoo wameisikilizia kwa jirani.

Kante kawa player of the match
 
Lakini tukumbuke kua, ushindi wa Chelsea fainali hauondoi ubora alionao pep. Maan nimeona kuna wana michezo wanzangu wanambeza mwamba.
 
City kafanya rotation wachezaji 9, Chelsea 5, bado refa kawanyima City penalti na Aguero kuonesha dharau aliyonayo kwa Chelsea akaamua kuwapa zawadi ile penalti yake, tar 29 ndio mtajua Man City ni jini gani.
Ptuuuuhhh
 
[emoji123][emoji123]
FB_IMG_1622368150420.jpg
View attachment 1802493
FB_IMG_1622364679296.jpg
 
Back
Top Bottom