Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Wanazingua niniMan city wapo vzuri ila wanazingua sana hatua hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazingua niniMan city wapo vzuri ila wanazingua sana hatua hii
Si vyema kwa afya yako kujipa matumaini yasiyokuwa na uhalisia mkuu.Wapo vizuri sana, lakini naamini hii ndoo tunachukua the cityzens.
last season walitolewa kizembe sana, unaongoza goli 1 dhidi ya madrid alafu unafanya sub unatoa wachezaji wa kukupa matokeo unaingiza wa kawaida. Kilichotokea nadhani unakijuaWanazingua nini
Sijawahi ona timu zilizotoka kundi moja zinakutana mtoano ukiacha fainali. Ngoja tuone.Can teams from the same country play each other in the Champions League quarter-finals?
Yes, it is an open draw. There are no seedings and no country protection, so clubs can face opposition from the same national association and teams they previously came up against in the group stage.
Mie mwenyewe ni city kindaki ndaki, ila kwa UCL tunatepeta km sio sisi vileee. Aaaaah.Man city anachukua labda wamroge jini Halaand
Haiwezekani labda kwenye fainaliCan teams from the same country play each other in the Champions League quarter-finals?
Yes, it is an open draw. There are no seedings and no country protection, so clubs can face opposition from the same national association and teams they previously came up against in the group stage.
Mbona huwa zinakutana mara kadhaa.Sijawahi ona timu zilizotoka kundi moja zinakutana mtoano ukiacha fainali. Ngoja tuone.
Ngoja niingia chimbo nakuja.Lini mkuu, mashindano ya mwaka gani?
Mkuu Man city kwa sasa wanajitosheleza hio ni lastseason ambapo hawakua na striker aliesharplast season walitolewa kizembe sana, unaongoza goli 1 dhidi ya madrid alafu unafanya sub unatoa wachezaji wa kukupa matokeo unaingiza wa kawaida. Kilichotokea nadhani unakijua
Madrid wamepoa wale hata Man city anawatoa 😂😂Mie ni citizens, ila nawaogopa Bayern na Madrid.
Km hawa wakizembea, basi kwapa tutanyanyua sisi.
I got you man. Mpira mda mwingine una matokeo ya ajabu sana.Wote tuna hope, sio Madrid sio Bayern sio Napoli sio Chelsea
Hio ndio miongozo ya UEFA nimetoa kwenye website Yao we unasema haiwezekani!!!Haiwezekani labda kwenye fainali
Pia fainali inakuaa mbayaaa 😃😃
Usijali mna jini Halaand nyie mnachotakia ni kua na imani naoMie mwenyewe ni city kindaki ndaki, ila kwa UCL tunatepeta km sio sisi vileee. Aaaaah.
Mwaka jana tulipigwa 2 dkk za majeruhi aaaah.