UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo

Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Timu za ligi moja zinaweza kukutana kuanzia robo fainali kwenda mbele.

Ila timu ambazo zimetoka kundi moja kukutana mtoano haijawahi kutokea labda miaka ya 50's huko.
 
Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo

Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Aisee Palina ningekua karibu yako ningekupiga kibao kimoja matata sana, mbona unakua ligumu ivo kuelewa

Official statement ya UEFA ni kwamba Leo kwenye droo ya quarter final hakuna seeding Wala nini hii Ina maana timu zote nane zinaweza kutana, hakuna Cha mmetoka nchi Moja au mlikua wote makundi, ni random draw

Seeding ni ile unakuta Kuna timu zishawekwa kwenye pot A,pot B, etc so haziwezi Kukutana! Sasa washasema Hio haipo

Sasa wewe unakalia kubisha tu eti sijawahi Kuona, una bahati ningekulamba kibao shenzi
 
Anza kujiuliza kwanza alimfunga vipi Psg + Chelsea kabla ya kukufikia wewe Man City na akamalizia na Liverpool ambaye alikuwa One point behind you in EPL last season. Kwahiyo hakuna bahati uchwara waliwazidi mbinu tu.
Angalia magoli waliyokuwa wanafunga (dhidi ya PSG,Chelsea first leg na man city second leg), unaona kabisa ni bahati ndio iko upande wao.
 
Timu za ligi moja zinaweza kukutana kuanzia robo fainali kwenda mbele.

Ila timu ambazo zimetoka kundi moja kukutana mtoano haijawahi kutokea labda miaka ya 50's huko.
Leo hakuna seeding kwa io hata kama mmetoka kundi Moja mnakutana tu, sheria zinabadilika sio bibilia Hio au msaafu, muwe mnafatilia mambo sio kujifanyia wajuaji

Streamed live on UEFA.com

Bayern (GER)
Benfica (POR)
Chelsea (ENG)
Inter (ITA)
Man City (ENG)
AC Milan (ITA)
Napoli (ITA)
Real Madrid (SPA)

Can teams from the same country play each other in the Champions League quarter-finals?
Yes, it is an open draw. There are no seedings and no country protection, so clubs can face opposition from the same national association and teams they previously came up against in the group stage.

Are the Champions League semi-finals drawn at the same time?
Yes. There are three draws: for the quarter-finals; for the semi-finals, pitting together quarter-final ties; and then a third to determine the 'home' side in the final for administrative reasons.

When are the quarter-finals?
11/12 April and 18/19 April

When are the semi-finals?
9/10 May and 16/17 May

When is the final?
Saturday 10 June
 
Siku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league.

Hivyo sio mbaya wadau wa soka tukajadiliana na kutoa mitizamo mbalimbali kuhusu nani atakutana na nani katika hatua ya robo Fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.

TIMU ZILIZOFUZU.

1. Chelsea (England)
2. Benfica ( Portugal)
3. AC Milan ( Italy)
4. Bayern Munich ( Germany)
5. Inter Milan ( Italy)
6. Manchester city (England)
7. Real Madrid (Spain)
8. Napoli ( Italy)

UTABIRI WANGU

Man city vs AC Milan

Inter Milan vs Real Madrid

Bayern Munich vs Benfica

Napoli vs Chelsea

Mawazo yako ni yapi?
Mimi napenda Soccer Bet
 
Mkuu wangu napoli wasikupe presha ,wanastriker mmoja Osimhen mayb Bayern ila mpira unadunda Man city anawatoa wote hao 😃😃😃
Huwajui napoli vizuri wewe unamjua huyo mtoto pichani?
Screenshot_20230316-112531_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom