othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Hamkomi tu.City tunamtaka Madrid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamkomi tu.City tunamtaka Madrid.
Asa mbona wana Madrid mnatamba sana wakati tuna wamudu vizuri tuHawapo ligi moja mpaka useme Madrid anapasuliwaga na Man city mara nyingi. Wamekutana mara 8. Wametoka draws mara 2 na kila mmoja ameshinda Mara 3 kwahiyo hakuna anayekaza fuvu hapa.
Huyu noma sana, ila akikutana na mnyama Walker Kwisha habari yake.Huwajui napoli vizuri wewe unamjua huyo mtoto pichani?View attachment 2553531
Safari kaanza na aliyemaliza nae msimu uliopitaAnaweza akapitishwa njia aliyopitta msimu uliopita, jiwe baada ya jiwe.
Huyo Napoli arukeruke tu lkn asijekutana na mnyama Madrid fainalNapoli bingwa
Walker uchochoro tu, akikutana na winga yenye spidi chali 😂 tunamjua vizuriHuyu noma sana, ila akikutana na mnyama Walker Kwisha habari yake.
Naelewa shughuli yake ila ashaanza kufubaaWalker ana mechi na mechi, muulize mbappe anaelewa shughuli.
Hapana Madrid anadondokea kati ya Inter or Napoli.Chelsea vs inter milan
Au
Chelsea vs real Madrid
Hamna labda chini ya 2010huko zamani sana ila recently nakataa labda utuambie directly its when n ni mechi ganiMmh, fuatilia tena utajua timu toka ligi/nchi moja zinakutana kuanzia round ipi.
Ila watu bhana kwani huezi toa hoja yako simplify bila kuanza ooh sijui mpira umeanza kuona juzi 😃😃Liver na arsenal, arsenal na man,robo mkiingia wengi nchi moja mnakutanishwa tu,itakua imeanza kuangalia mpira ulaya hivi karibuni
Hamna labda chini ya 2010huko zamani sana ila recently nakataa labda utuambie directly its when n ni mechi gani
kye kye kye kyeee...hapo kwanza ngoja ncheke!!!City tunamtaka Madrid.
Nishaiona lakini nadhani haiwezi tokea labda wakutane fainali![]()
Champions League quarter-final draw: Who was in it? When was it? Was there country protection? | UEFA Champions League 2022/23
The UEFA Champions League quarter-final, semi-final and final draws took place on Friday 17 March.www.uefa.com
Soma hapo mkuu uongeze maarifa kidogo, manake tutafanya argument isiyo na mantiki bila rejea.