UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Ishu yangu ni kuwa webpage/blog yeyote hutengeneza any info ambayo inajua italeta visitors wengi ila hizo info zinaeza zisiwe na mashiko yeyote

So as long as bado hawajatoa official statement ya draw sio mbaya kila mtu aamini na anachoamini
 
Madrid wanabebwa na vibahati uchwara tu akikutana na wababe wenzie, liva ni wabovu ndio maana kawaonea.

Tunamtaka atueleze zile goli 2 za jioni alitufunga vipi.
Bahati mbona mwaka Jana kuazia mtoano kapiga wakubwa wote mpaka ubingwa halafu unasema bahati
 
Ila naturally si ni blog au web kama zingine

Am a well informed person more than you think don't underestimate me that much 😂😂

Mimi nasubiri official draw maneno maneno hapana kwasasa kila mtu asimame na anachoamini
Sio web kama zingine mkuu, hiyo ni official Web page ya uefa mkuu. Sheria, kanuni, miongozo ya mashindano yoyote ndani ya uefa utayakuta hapo.

Anyway, kwa vile umesema upo well informed, halafu hapo hapo hutaki kukubali kuwa uefa CL knock out stage yoyote anakutana na yoyote, tukubali kutokubaliana mkuu.
 
Angalia magoli waliyokuwa wanafunga (dhidi ya PSG,Chelsea first leg na man city second leg), unaona kabisa ni bahati ndio iko upande wao.
Kwenye mpira wa ulaya hakuna kitu kinaitwa bahati mkuu.
Ni suala la uwezo, uzoefu na mbinu.

Jana umeona Trent alivyogeuka uchochoro wa bwana mdogo Vinicius?

Wachezaji wengi wa Madrid wana uzoefu na hizi game za mtoano na hawana mambo ya kitoto kuremba mpira kama PSG ama City.

Hata mwaka huu watafika mbali.
 
Sio web kama zingine mkuu, hiyo ni official Web page ya uefa mkuu. Sheria, kanuni, miongozo ya mashindano yoyote ndani ya uefa utayakuta hapo.

Anyway, kwa vile umesema upo well informed, halafu hapo hapo hutaki kukubali kuwa uefa CL knock out stage yoyote anakutana na yoyote, tukubali kutokubaliana mkuu.
Naona ulikua unatwanga maji kwenye kinu brother.

Huyo mtu ana ubishi wa kitoto kabisa, anapewa official rules za UEFA yeye anang'ang'ana eti kila mtu aamini anachoamini!
 
Ishu yangu ni kuwa webpage/blog yeyote hutengeneza any info ambayo inajua italeta visitors wengi ila hizo info zinaeza zisiwe na mashiko yeyote

So as long as bado hawajatoa official statement ya draw sio mbaya kila mtu aamini na anachoamini
Sa info hazina mashiko wakati umeambiwa hizo ni rules zinazoongoza mashindano kutoka kwenye tovuti rasmi ya uefa!
Mtu anapokwambia official UEFA website unaelewa?
 
Bingwa ni NAPOL

Screen shot hii.
Natamani sana kombe liende Italy safari hii, hasa kwa Napoli au laasivyo basi Ac Milan wapunguze gap lao na Real Madrid. Ila sioni kwa Ac kutoboa maana timu bado kabisa haps wamefuzu kibahati. Bayern na. Madrid wanaweza kuwa kikwazo kwa Napoli.
 
Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo

Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Hata Chelsea alicheza na man city, cheltako alinyanyua kwapaaa.
 
Back
Top Bottom