UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Route ya semi final itakuwa hivi.

Real Madrid/Chelsea vs Man city/Bayern Munich

AC Milan/Napoli vs Inter/Benfica
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
IMG_20230317_143000.jpg
 
Madrid hakutani na Beyern wala man city wala Napoli Hadi fainali...
Hizi draw ziko fixed
 
First draw
Real madrid vs Chelsea

Second draw
Inter vs Benfica

Third draw
Man city vs Bayern Munich

Fourth draw
AC Milan vs Napoli
Tobaaaaaaaaah, citizens tumetokaaaaaaaa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Huenda ikawa fainali ambayo hatukuitarajia...

Fainali itaishia nusu fainali [emoji1][emoji2][emoji3]
 
Ac milan sijui wamefikafikaje hapo
Pamoja ya kuwa ndio timu yangu tokea kitambo hadi sasa, lakini hadi kufikia hapa ni kibahati tu. Napoli anaweza kutuumbua maana timu imepwaya mno hadi kwenye serie A ina struggle hata kwa timu zinazoburuza mkia.
 
Napoli ni kama Nyuki, sema hii michuano ina mentality yake, usijeshangaa Milan akamtoa Napoli
 
Napoli ni kama Nyuki, sema hii michuano ina mentality yake, usijeshangaa Milan akamtoa Napoli
Hawa jamaa ukiingia kwenye kopi yao lazima wakutandike ipasavyo, wanakaba kwa haraka na kasi ili kukulazimisha ufanye makosa wakakuadhibu.
 
Back
Top Bottom