UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Kwaiyo ndio ukaamua kutukimbia jumla kwenye jukwaa la the cityzens.

Msimu huu tunabeba ndoo iyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaa nachunguliaga tyuuh, mwaka huu enyewe, EPL arsenyani wanataka kutuporaaa,

Na huku UCL hatuelewi itakuajeee daaah.
 
Kwenye mpira wa ulaya hakuna kitu kinaitwa bahati mkuu.
Ni suala la uwezo, uzoefu na mbinu.

Jana umeona Trent alivyogeuka uchochoro wa bwana mdogo Vinicius?

Wachezaji wengi wa Madrid wana uzoefu na hizi game za mtoano na hawana mambo ya kitoto kuremba mpira kama PSG ama City.

Hata mwaka huu watafika mbali.
Wee ndo umeongea ukweli, tena KDB jaman anavyotepeta UCL hadi najiulizaga ndo huyu huyu lol.
 
Leo ndiyo siku ambayo draw ya ligi ya mabingwa ulaya itafanyika pale Nyon nchini Uswisi.

Draw inatarajiwa kuanza majira ya saa 8:00 mchana kwa saa za Afrika mashariki, tutakua tunapeana updates kile kinachoendelea.
 
Sa info hazina mashiko wakati umeambiwa hizo ni rules zinazoongoza mashindano kutoka kwenye tovuti rasmi ya uefa!
Mtu anapokwambia official UEFA website unaelewa?
Tumvumilie mkuu, nadhani huyu ni Ke.
 
Back
Top Bottom