UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Sijawahi ona timu zilizotoka kundi moja zinakutana mtoano ukiacha fainali. Ngoja tuone.
 


Haiwezekani labda kwenye fainali

Pia fainali inakuaa mbayaaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Mie ni citizens, ila nawaogopa Bayern na Madrid.

Km hawa wakizembea, basi kwapa tutanyanyua sisi.
 
last season walitolewa kizembe sana, unaongoza goli 1 dhidi ya madrid alafu unafanya sub unatoa wachezaji wa kukupa matokeo unaingiza wa kawaida. Kilichotokea nadhani unakijua
Mkuu Man city kwa sasa wanajitosheleza hio ni lastseason ambapo hawakua na striker aliesharp

Hii season wasipokua makini anachukua pia namuombea πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…