UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Japo mi Real lakini kwa jinsi hawa madogo wanavyopigana kuwa fair tu,hata nao wakinyanyua kwapa mara moja itakua kifuta jasho kwao.Tukutane baada ya mechi...yeyote atakayeshinda anastahili
Haya mkuu tukutane baada ya mechi.!
 
Real Madrid naona wanasukuma kwa nguvu balaa., ila nahisi ndoo inaenda upande mwingine wa Madrid
 
Mwamuzi Mark Clattenburg namwamini, hapendi sana kutoa kadi na mchezo unakuwa mzuri.

Lakini hajasita kumpa kadi Carvajal maana kiatu chake ni hatari kwa Griezmann
 
Sergio Ramooooooos

Nahodha hakosi maeneo muhimu ya matukio.

Madrid 1 up
 
Why Simeone hajamuanzisha Giminez?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…