UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Nadhanu Atretico ndo wataamka sasa baada ya hili goli, maana wanacheza kanakwamba wamekuja kutafuta sare ili waende kwenye matuta.

BACK TANGANYIKA
 
Kila la heri Real ila goli ni la offside na offside imekuja baada ya mpira kuguswa na Bale
 
Hili goli Sergio Ramos anafunga akicheza fainali ya pili na Real Madrid baada ya ile ya 2014.

Pia anakuwa beki wa kati au "mkoba" kufunga goli katika fainali mbili tofauti za CL.

Sergio Ramos beki mshahara.
 
Huyu clatenburg tangu aifanyie Chelsea uhuni dhidi ya Manchester utd, na mashabiki wa Chelsea kumtishia kumchinja naona kawa refa bora ulaya kwa sasa.
 
Hili goli Sergio Ramos anafunga akicheza fainali ya pili na Real Madrid baada ya ile ya 2014.

Pia anakuwa beki wa kati au "mkoba" kufunga goli katika fainali mbili tofauti za CL.

Sergio Ramos beki mshahara.
Jinamizi la huyu jamaa linazidi kuwatesa ATM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…