engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,379
- 1,394
Why Simeone hajamuanzisha Giminez?
Makocha mpo wengi e? Tulieni bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why Simeone hajamuanzisha Giminez?
Katika goli anaweza akawa sahihi.!Ushafail
Makocha mpo wengi e? Tulieni bhana.
Kwa heri ya kunanaAtletico bye bye
Kibao kitageuka.!Asante.......nilijua hawawezi kuniangusha mwana wao.......
Muda bado..!
Hahahah mapema bado wakuu kuanza kuaganaKwa heri ya kunana
HahahaHahahah mapema bado wakuu kuanza kuagana
Unamjua Giminez lakini ?
Sina kawaida ya kukimbia.!Usikimbie tu.
Jinamizi la huyu jamaa linazidi kuwatesa ATMHili goli Sergio Ramos anafunga akicheza fainali ya pili na Real Madrid baada ya ile ya 2014.
Pia anakuwa beki wa kati au "mkoba" kufunga goli katika fainali mbili tofauti za CL.
Sergio Ramos beki mshahara.
Hahhaah sawa mkuu.!Hahaha
Aaah apo anzaga kutafta tim ya kushangilia mwakani, fainali isha isha hiii