UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

andika jina
REAL
ATLETCO kisha jumlisha.
yaani alfabet kua namba fuata mfumo kwa idad A hadi Z.
REAL =18+5+1+12=36
REAL= 36.
ATLERCO =1+20+12+5+18+3+15=74
ATLETICO =74.
sasa jumlisha tarehe na mwaka kwa zote. yaan
36real+ 74atletico+28+5+2016=2159
jjumla2159 igawanye kwa kila moja. yaan
2159 /36=59.972222 hakikisha unapata namba 1 yaan 59.97=5.1
2159/74=29.17567
29.17567= 2.2.
Kwahiyo tunapata :
REAL= 5.1~
ATLET 2.2~
Kutokana na namba hiZo real. atashinda kipindi cha kwanza tu.maana 5 inanguvi kuliko 2.
na pia. mechi itakua na ushindi wa magoli mawili ya 5+1=6
2+2=4
gepu kati ya 6 na 4 .

au kwa njia lahisi fanya hivi
REAL
ATLETICO.
R inagawanyika yaan ni 18 kwa kufuata alfabet
Ahigawanyiki kwa kufuata alfabet. yaan ni 1.sasa fanya hivi!
18+ tarehe 28=46
1+tarehe28=29.
kwahiyo 46 inagawanyika
29 haigawanyik kwa kufuata njia hii namba inayogawanyika ndio mshindi.
KAZI KWENU.
 
Game kama hizi mara nyingi zinaumiza roho sana. Natamani Atletico wachukue hiki kikombe lakini dah......

Nitaumia sana kama watakikosa. Wamefanya kazi kubwa sana.

#TeamAtletico.
 
Atletico Madrid 2 Madrid 1

Hivyo ndivyo itakavyoisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…