respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Jamani labda sioni vizuri, hivi nani kamuona Torres akigusa mpira????
BACK TANGANYIKA
BACK TANGANYIKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why Savic ameanza badala yake ?
Iko live azam through zbc2Aaah
Kusubir UEFA azam ni kama kutafta maji jangwani
DaaahNdio wapo laivu ZBC2
Azam tv wako live mkuu fainal through zbc2Hahahahaaaaaa., duh utakuwa ni bonge la uhuni, kuonesha mechi ya mwaka juzi
DaaahIko
Iko live azam through zbc2
Hawakutoa taarifa mapema kama itakuwa hivi.!Daaah
Asante mkuu, wamejitahd Azam
Na kweli, hasa uko majumbani walioko now wengi kina mama wapenda bongo movies tuu, waangaliaj tusha ingia vibanda umiza kitambooHawakutoa taarifa mapema kama itakuwa hivi.!
Usikimbie baada ya kipindi cha pili kuisha.Madrid wamepaki bus ila kipindi cha pili lazima aachie
unataka kusema Azam Tv wanaonyesha hii fainaliWapo laivu aisee
Madrid wamepaki bus ila kipindi cha pili lazima aachie
Hahahaaa
Uje azam huwa awana kawaida kama hyo ya EUFA , ila ina ezekana
Kwa sabab wanao chek azam now, wengi awajui ata mpira ni nn