Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakaopigwa ndiyo hao.Watu gani tena hao
Mwa 4
HahahahaWatakaopigwa ndiyo hao.
Hapo katumia utu sana, Pepe huyo alistahili red kabisa,maana leo katembeza viatu sanaGabi anaumizwa na Pepe na Mwamuzi Mark Clattenburg hana jinsi, anamwonyesha Pepe kadi ya njano.
Huyu Pepe kwa kucheza rough anaongoza
Ni kweli atletico amechukua kikombeWakuu mi nipo kijijini naomba mnijuze vyema,kuna jamaa yangu wa huko mjini amenitumia msg kuwa mechi imeisha atletico wamechukua kombe,ni kweli au anadanganya maana mi real Madrid moyo umeniuma Sana.
Bado mkuu na game ni dk ya 114 bado ARM 1-1 ATMWakuu mi nipo kijijini naomba mnijuze vyema,kuna jamaa yangu wa huko mjini amenitumia msg kuwa mechi imeisha atletico wamechukua kombe,ni kweli au anadanganya maana mi real Madrid moyo umeniuma Sana.
Ni kweli atletico amechukua kikombe
Nasikia real Madrid imepwaya Sana wanautafuta kwa tochi,kuna ukweli wowote au unazi tu wa mashabiki wa atleticoBado mkuu na game ni dk ya 114 bado ARM 1-1 ATM
Madrid ameshafungwa. Atletico amechukua kikombeNasikia real Madrid imepwaya Sana wanautafuta kwa tochi,kuna ukweli wowote au unazi tu wa mashabiki wa atletico
product ya bongo moviepepe muigizaji sana