UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Wakuu mi nipo kijijini naomba mnijuze vyema,kuna jamaa yangu wa huko mjini amenitumia msg kuwa mechi imeisha atletico wamechukua kombe,ni kweli au anadanganya maana mi real Madrid moyo umeniuma Sana.
 
Ni kweli atletico amechukua kikombe
 
Wakuu mi nipo kijijini naomba mnijuze vyema,kuna jamaa yangu wa huko mjini amenitumia msg kuwa mechi imeisha atletico wamechukua kombe,ni kweli au anadanganya maana mi real Madrid moyo umeniuma Sana.
Bado mkuu na game ni dk ya 114 bado ARM 1-1 ATM
 
Dakika 2 zimebakia vijana bado wanaumana. Lakini ni dhahiri mpira utakwenda kwenye penalties.
 
Mark Clattenburg anamfahamu Pepe vizuri sana na amwangalia anavyojigaragaza uwanjani.

pathetic
 
Back
Top Bottom