UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

hatmae mwanaume kaonekana viva el galacticoz
 
Acha tu wachukue maana ata hao ATM wenyewe hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania so ainiumi ata kidogo nyambafu zao nyoooooooo. 🙁🙁🙁
 
Atletico Alikuwa anastahili kubeba hii ndo,ila ndo vile bahati tu haikuwa yao
 
Mie ata sina timu Spain.. Mie ni Yanga damu buana.... 🙂🙂

Dah......mkuu.....sijui tu lakini hao jamaa wapo kumoyo......nadhani kwa namna hii utanielewa.......
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    95.2 KB · Views: 53
Back
Top Bottom