UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

IMG_20221107_155435.jpg
 
Hakika, wale jamaa kwenye kazi yao hawataki mazoea, kawaulize Barca watakupa habari zao.
Ila psg anakikos kizur Tu cjui wanakwama wapi sema shida n kukaza mastar sehem
Moja ndo inawagarimu yan neyma,mess,mbappe na wote wanataka kushine the same time
 
Ila psg anakikos kizur Tu cjui wanakwama wapi sema shida n kukaza mastar sehem
Moja ndo inawagarimu yan neyma,mess,mbappe na wote wanataka kushine the same time
Hawana timu ila wana wachezaji bora.
Hapo wote wakiwa uwanjani wakati timu inashambuliwa hawakabi, kila mmoja kule mbele anataka aonekane yeye ni mkali zaidi japo Messi ana nafuu, kwa hiyo nyuma mzigo unakuwa mkubwa.
 
Chelsea washindwe wenyewe!

Liverpool na PSG wameingia kwenye 18 za mtu mbaya Mandonga! Safari yao itaishia kwenye hatua hii ya 16 bora.

Man city wataingia robo fainali kiulaini tu kwa kushinda nyumbani na ugenini.
Chelsea hata tungepewa Makolokolo FC bado tungetoka tu, hakuna timu yoyote yenye ushindani pale na Majeruhi tele zaidi ya 8

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom