UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

Chelsea hata tungepewa Makolokolo FC bado tungetoka tu, hakuna timu yoyote yenye ushindani pale na Majeruhi tele zaidi ya 8

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwani majeruhi ni kwa Chelsea tu, timu nyingi zina majeruhi kwasbb ni sehemu ya mchezo, sema Chelsea hatuna kocha wakwetu bado anafanya majaribio ya mfumo.
 
Liverpool wanawatwanga Madrid mapema ila yule dogo nunez na Alexander Arnold wanatakiwa waanzie benchi maana wana utoto mwingi sana kama mechi ya jana dhidi ya totenham kama ni kwa Madrid liverpool angekufa nyingi sana ila bado liverpool ana nafasi ya kumuondoa Madrid.
 
Champions league in a msisimko zaidi ya world cup mwaka huu
 
Liverpool wanawatwanga Madrid mapema ila yule dogo nunez na Alexander Arnold wanatakiwa waanzie benchi maana wana utoto mwingi sana kama mechi ya jana dhidi ya totenham kama ni kwa Madrid liverpool angekufa nyingi sana ila bado liverpool ana nafasi ya kumuondoa Madrid.
Madrid ni wa moto sana
 
Man City huwa anachezeshaga karata nnje ya uwanja nini?

Kwanini kila hatua hizi hupangwaga na vitimu rojo rojo tu kwenda robo fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unajua mwaka jana Liverpool alipangiwa na timu gani mpaka kufika final uefa

Round ya 16 uefa

Porto

Robo finali uefa

Benifica

Semi final uefa

Villarreal

Akafika final ya uefa

Real Madrid

Lakini wewe kilaza haukuja kusema Liverpool anabebwa lakin kwa vile ni man city unaanza kuleta uharo wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kolo wewe
 
Afadhali man city sahzi tunapumzika kidogo duh
 
Huwez kubahatisha kila siku, kila fainali.. ile timu inao uwezo kuliko timu zote za ulaya. Ukiweka ushabiki utaona naongea utumbo, ila ukiangalia kwa jicho la ufundi utaona nnachosema ni naked truth kwa asilimia 90+
Kwa hiyo liver wapigwe tu?
 
Back
Top Bottom