UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

  • Paris Saint-Germain vs Bayern Munich
  • Inter Milan vs FC Porto
  • Borussia Dortmund vs Chelsea
  • Eintracht Frankfurt vs Napoli!
  • AC Milan vs Tottenham
  • Liverpool vs Real Madrid
  • Club Brugge vs Benfica
  • RB Leipzig vs Manchester City
Safarii hii naliona kombe likisalia German

Ova
 
Chelsea washindwe wenyewe!

Liverpool na PSG wameingia kwenye 18 za mtu mbaya Mandonga! Safari yao itaishia kwenye hatua hii ya 16 bora.

Man city wataingia robo fainali kiulaini tu kwa kushinda nyumbani na ugenini.
Si kweli babu nakuahakikishia kuwa

Man City anakwenda na maji mapema San kipara kila timu zimeshamsoma
 
Kuwa na adabu we Kolowizard, umechukulia mfano wa mwaka mmoja tu, mbona hujachukulia rekodi tangu 2016 - 2022?

PUMBAVU...[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Naitabilia makubwa Bayern msimu Huu.
Bayern ya mane (ya sahv ) inacheza kitimu zaidi kuliko ile ya lewandowsk.

Pale mbele hawamtegemei mtu mmoja na wote wanakaba
 
Kuwa na adabu we Kolowizard, umechukulia mfano wa mwaka mmoja tu, mbona hujachukulia rekodi tangu 2016 - 2022?

PUMBAVU...[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mjinga tu hakuna timu inayofika final CL haijacheza na timu kubwa .....

Na mwaka jana Liverpool ilikuwa kituko maana wanaume tunacheza CL yeye anahangaika na kina Porto ,sijui Villarreal .....

Mpaka nikawa najiuliza hivi Hawa Liverpool wanauhakika wanacheza CL [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Liver Hana kikosi Cha kumfunga real Madrid. Atapigwa nje ndani. Tena kwa idadi kubwa ya magoli
 
Kupitia hii draw Kuna umuhimu mkubwa Sana kumaliza nafas YA Kwanza kwenye group, PSG Na Liverpool wanajuta.
 
Reactions: K11
Kupitia hii draw Kuna umuhimu mkubwa Sana kumaliza nafas YA Kwanza kwenye group, PSG Na Liverpool wanajuta.
Hivi kwanini hii hali mnaichukulia kwa upande mmoja tu kwamba Liverpool na PSG wanajuta. Lakini hata Real Madrid na Bayern Munich pamoja na kuongoza kundi lakini hiki walichopangiwa haiwapi kicheko hata kidogo kwasababu game ipo 50/50

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…