UEFA Champions League Draw

UEFA Champions League Draw

Mkuu ndo hapo nashangaa mtu anasema lig ya uingereza ni bora kisa Umaarufu..... sasa jiulze timu km Leicester city kombe gan wanaweza wakachukua mbele wababe hawa wa kiispania.
Mtu anasema laliga timu nyngne ni mbovu wakat Atletico wanaingia fainal mara mbil champions league ndan ya miaka mitatu.
Tunamwona sevilla anachukua europa mara tatu mfululizo tena hii ya mara ta tatu akiwabutua waingereza liverpool.




MKUU WAO WATAKUAMBIA LIG YA EPL CJUI INA USHNDAN MARA GUADIOLA UINGEREZA ANAFUNGWA. SABAB ZA KITOTO KABISA


ALAVES na OSASUNA tuwapatie kama wataweza😀
 
Back
Top Bottom