>>> Champions League Kuchukuliwa na R. madrid mara nyingi haimaniishi kuwa eti La liga ndio the best! Fo real? In that case Seria A is best then EPL? because AC Milan is a five time winner!
>>> Mechi Kali duniani ni derby ya Madrid na Barcelona? Barcelona ni timu ilo rise juzi tu, na kufanywa kuwa ni mechi bora ni on purpose, makusudi inafanywa ionekane ivo by giving it too much attention. Mechi nyengine ya kusisimua La liga ni ipi? Madrid na Atletico? Barca na Atletico? Derby ya La liga ni kama bidhaa za oriflame, GNLD, ndo zinazotumika sana na kujitangaza sana, wakati za EPL ni kama shampoo ya HEAD and Shoulder, husikii mtu akikwambia njoo ujiunge utengeze milioni, lakini ni bidhaa bomba... Derby ya La liga ni Messi na Ronaldo. Lakini derby za EPL Ni team kwa Team sio single player. Ligi yenu full of hype.
>>> Mwaka wa tatu Sevilla bingwa wa Europa, Okey sawa, but that doesnt make Sevilla the best team in Europe. When wa the last time they won the La Liga? Unajua kwanini La liga haina Mvuto zaidi ya mechi ya Barca na Madrid na Atletico na Madrid? The league is only dominated by 2, Barca na R.Madrid, Atletico nae kashtuka juz tu. The race for la liga ni for 2 only, in EPL, the unexpected happens, Hii ndio raha ya soka. Uingereza kuna Arsenal, Chelsea, Tottenham, Man city, Man utd, Liverpool, wote wanang'ang'ania ligi.
>>> Miaka nane mchezaji bora ni Messi na Ronaldo. Mkuu kwa hili wala sio la kuongea, hii tunajua kumejaa upendeleo kwenye ichi kinya'nganyiro na fitina tupu, Kumbuka Ronaldo kaanzia kushine Uingereza, La liga kama kawaida mtu akitoka uingereza akija huko kaja kushine kuliko. Ntajie mchezaji alotoka La liga akaja EPL akachukua mchezaji bora wa dunia.
Hujiulizi kwanini Investment nyingi EPL kuliko La liga? watu wanafuata kilicho bora, Kumbuka barca alikuwa hana mdhamini kwenye jezi yake na ilikuwa inashiriki ligi kuu.
Mtizame Guardiola, Msela Spain alitamba sana, na ndo aloipaisha barca, kila timu kubwa ikamdokolea macho inamtaka, kuja Uiengereza tu, Guardiola sasa anaonekana kumbe kocha wa kawaida. EPL ni kitu chengine mkuu. Burudani tupu.