RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Babu yenu alimnunua sylvestre,welbeck usishangae akaja kumchukua fellaini!mtatuazima fellaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu yenu alimnunua sylvestre,welbeck usishangae akaja kumchukua fellaini!mtatuazima fellaini
Kama kawaida yenu mtapigwa 3-0 halafu mkija kwenu mnashinda 2-1 mnabaki kusema na sisi tumewafunga wakati mshatoka!Bayern Munich hawatutishi tutawapiga tu. Kuonyesha hatukubahatisha kuongoza kundi
Safari ya Leicester imeishia hapooCHAMPIONS LEAGUE LAST-16 DRAW
Man City v Monaco
Real Madrid v Napoli
Benfica v Borussia Dortmund
Bayern Munich v Arsenal
Porto v Juventus
Bayer Leverkusen v Atletico Madrid
PSG v Barcelona
Sevilla v Leicester
tutamchapa tu. last time Bayern alibebwa na refa. na uzuri safari hii tunamalizia game kwetumbona huwa tunabahati mbaya sana... Nifah Mwana Mtoka Pabaya tutachomoka kweli??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama kawaida yenu mtapigwa 3-0 halafu mkija kwenu mnashinda 2-1 mnabaki kusema na sisi tumewafunga wakati mshatoka!
Bayern hawana jipya ribery, robben washajizeekeaKama kawaida yenu mtapigwa 3-0 halafu mkija kwenu mnashinda 2-1 mnabaki kusema na sisi tumewafunga wakati mshatoka!
Arsenal ya sasa sio ya mchezo mchezo Bayern Munich vibonde.Kama kawaida yenu mtapigwa 3-0 halafu mkija kwenu mnashinda 2-1 mnabaki kusema na sisi tumewafunga wakati mshatoka!
Huu msemo nimeusikia misimu zaidi ya 10!Arsenal ya sasa sio ya mchezo mchezo Bayern Munich vibonde.
This time Bayern hachomoiBayern hawana jipya ribery, robben washajizeekea
mUNICH VS aRSENAL Kranga komo!Kwenye options ya tutakaokutana nao cc Arsenal tunaombea tupangwe na Real Madrid au Bayern ili tunyoshe m2 coz mazoea yamezid
Kwani aliwachomeka lini?This time Bayern hachomoi
Hii sio bahati mbaya. Hawa Bayern walikuwa wanatufunga kwa kuwa hatukuwa na Mustafi Madevu (kiboko ya Costa) na Alexis alikuwa pembeni. This time wambea watakosa cha kuongea wallahmbona huwa tunabahati mbaya sana... Nifah Mwana Mtoka Pabaya tutachomoka kweli??
Maajabu ya upendo wako, utakuta unatushauri tuweke nguvu EPL ilhali timu yako ndio ile jana iliyojiimarisha kwenye nafasi ya 6arsenal wekeni nguvu epl, huko ndo mshatolewa
Jamaa una roho NGUMU kuliko mimi. COYG.Kwenye options ya tutakaokutana nao cc Arsenal tunaombea tupangwe na Real Madrid au Bayern ili tunyoshe m2 coz mazoea yamezid