UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

Tunaweza kusema mvua itanyesha kwa kuangalia wingu, sasa kwa njia aliyopewa liver kuto kucheza fainali ndio itakuwa ajabu, sisemi 100% kuwa liver anacheza fainali but ana % kubwa ya kucheza fainali kwa upande aliowekwa ukilinganisha na wenzie
Ana asilimia kubwa lakini hiyo sio hakika, mpira una matokeo yake ya kushangaza hasa kwa timu tunazozitarajia makubwa.
 
Hatimaye umeshuhudia mwenyewe Bayern Munich na Real Madrid wamesonga mbele.

Arsenal na Man City bado ni underdog team linapokuja swala la UEFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…