Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Miongoni mwa swali jepesi nililokutana nalo jf leo hii ni hili ila Mussolin5 kuuliza maswali ya kichochezi hivi sio vizuri ujue jirani hali yake tete
 
Binafsi mimi ni shabiki wa kutupwa wa Gunners but today nataka Wenger adhalilishwe tena, Dunia ya sasa inahitaji ubunifu na sio kiushi kwa mazoea
 
Kitendo cha Barca kuamua kushambulia kwa fujo mwanzo mwisho ili atafute goli 5 ni sawa na mtu aliye uchi anayeamua kuficha uchi kwa mikono matokeo take makalio(beki) yatabaki wazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata Barca hawavuki bali wanaweza kushinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…