Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ya WengerHilo kwa kiasi fulani lina ukweli, lakini afadhali kwa timu yoyote nyingine, lakini si kwa Arsenal
Hivi kwanini mashabiki wa Man U mnapenda kuidharau Arsenal?Sio kwa arsenal
Ha ha ha ha ha mnavyoidharau Arsenal nabaki kucheka tu.Hilo kwa kiasi fulani lina ukweli, lakini afadhali kwa timu yoyote nyingine, lakini si kwa Arsenal
Arsenal hawatoboi,Barca wanaweza kupata goli 5 lakini nyavu zao lamina zitaguswaKesho kipute kitatwangwa cha kueleweka ila nafasi ya bac ni ndogo sana
Inawezekana nyavu zao zikaguswa tena mara nyingi tuArsenal hawatoboi,Barca wanaweza kupata goli 5 lakini nyavu zao lamina zitaguswa
Sasa tumeidharau au tumewapa sifa yenu?Hivi kwanini mashabiki wa Man U mnapenda kuidharau Arsenal?
Kitendo cha Barca kuamua kushambulia kwa fujo mwanzo mwisho ili atafute goli 5 ni sawa na mtu aliye uchi anayeamua kuficha uchi kwa mikono matokeo take makalio(beki) yatabaki wazi<br />[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
PsG lazima wafe Mkuu, hizo goli zinawekanika kabisa kupatikana.Barca 6- PSG 0
Hata Barca hawavuki bali wanaweza kushinda tuKitendo cha Barca kuamua kushambulia kwa fujo mwanzo mwisho ili atafute goli 5 ni sawa na mtu aliye uchi anayeamua kuficha uchi kwa mikono matokeo take makalio(beki) yatabaki wazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cheka sana lkn hamna uwezo wa kupindua matokeo hata kama mabavaria wakibaki 7 tu uwanjaniHa ha ha ha ha mnavyoidharau Arsenal nabaki kucheka tu.
Naomba uombe msamaha mkuu, mimi sio mshabiki wa hiyo kitu.Sasa tumeidharau au tumewapa sifa yenu?