Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Basi mtavuka kwa kuwafunga Bayern.Usikonde mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nilichomaainisha akienda mbele kufunga lazima nae atafungwa tu hivyo hana jeuri ya [emoji641] :[emoji778]Hata Barca hawavuki bali wanaweza kushinda tu
Mnatamani iwe hivyo ila kesho haitakuwa hivyo.Ndo nilichomaainisha akienda mbele kufunga lazima nae atafungwa tu hivyo hana jeuri ya [emoji641] :[emoji778]
Hahaha...jirani wanajisifu sanaMiongoni mwa swali jepesi nililokutana nalo jf leo hii ni hili ila Mussolin5 kuuliza maswali ya kichochezi hivi sio vizuri ujue jirani hali yake tete
Ukweli siku zote mchunguArsayNO na Badhalona wakipita/pindua matokeo nipigwe life ban
Kuna wajinga wanafananisha Celta Vigo na PSG yenye Rabbiot, Cavan na Di Maria
Nadhani utabiri wangu unaelekea kutimia
Arsenal kapindua matokeo ya kule ujerumani kaleta uingerezaMECHI ZA LEO:
Arsenal Vs Bayern Munich
Napoli Vs Real Madrid
MECHI ZA KESHO:
Barcelona Vs PSG
Borussia Dortmund Vs Benfica
Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo ambapo Arsenal watakuwa nyumbani kuwakaribisha wajerumani Bayern Munich. Ikumbukwe mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 5-1 hivyo leo anahitaji ushindi wa goli 4-0 ili asonge mbele, Je mwalimu Arsene Wenger ataweza kugeuza matokeo na kupata ushindi wa 4-0 leo hasa wakichagizwa na advantage ya uwanja wa nyumbani?
Kesho pia kuna shughuli pale Nou Camp, ambapo Barcelona watakuwa wanahitaji ushindi wa goli 5-0 ili wasonge mbele, je wataweza kubadili matokeo dhidi ya PSG?
Karibu utupe mawazo yako.
5-1Arsenal kapindua matokeo ya kule ujerumani kaleta uingereza
Jamaa wamegeuza wembe upande wa pili.Hahaha...jirani wanajisifu sana
Wazuri kwa ku balance hesabu.Arsenal kapindua matokeo ya kule ujerumani kaleta uingereza
HaswaaaNadhani utabiri wangu unaelekea kutimia