Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Uefa Champions League: Je Arsenal na Barca watapindua matokeo?

Ndo nilichomaainisha akienda mbele kufunga lazima nae atafungwa tu hivyo hana jeuri ya [emoji641] :[emoji778]
Mnatamani iwe hivyo ila kesho haitakuwa hivyo.
 
C6K6DoQXQAEYbV-.jpg
Nadhani utabiri wangu unaelekea kutimia
 
MECHI ZA LEO:
Arsenal Vs Bayern Munich
Napoli Vs Real Madrid​

MECHI ZA KESHO:
Barcelona Vs PSG
Borussia Dortmund Vs Benfica​

Hatua ya mtoano ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kuendelea leo ambapo Arsenal watakuwa nyumbani kuwakaribisha wajerumani Bayern Munich. Ikumbukwe mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 5-1 hivyo leo anahitaji ushindi wa goli 4-0 ili asonge mbele, Je mwalimu Arsene Wenger ataweza kugeuza matokeo na kupata ushindi wa 4-0 leo hasa wakichagizwa na advantage ya uwanja wa nyumbani?

Kesho pia kuna shughuli pale Nou Camp, ambapo Barcelona watakuwa wanahitaji ushindi wa goli 5-0 ili wasonge mbele, je wataweza kubadili matokeo dhidi ya PSG?

Karibu utupe mawazo yako.
Arsenal kapindua matokeo ya kule ujerumani kaleta uingereza
 
Back
Top Bottom