mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Uko mkoa gani mzee? DSTV sionkwa kila mtanzania. Ya watanzania ni continental na startimes.Hata Azam wazawa wengine wanajifosi.Ina tunaojiaminintunatumia DSTV hata kama kipato chetu sio kikubwa tunaganga hivyohivyo.
Mzee mimi sitaniii ufundi wa madish nimeanza kuufanya toka nikiwa kijana mdogo uhuni wa kuchezea hivi vidude naufanya hadi kesho.
.
Mwaka huu toka uanze nimefunga DSTV 3 ila Azam mwezi hui tu nimefunga 18 84 elfu ni pesa nyingi sanaaa kwa mTanzania wa kawaida hawezi kuimudu wengi hata hao active wanalipia Bomba wakilipia zaidi ya hapo familia itaanza kula mlo mmoja.
.
Bei ya DSTV kwa sasa ni 79K kifurushi cha kuvutia zaidi 84K hii ni akili au matope?
Mtumishi wa kawaida mwenye mshahara wa laki nne-tano unadhani ataiweza?
.
DSTV zipo sana kwenye vibanda umiza na sehemu kama bar hivi na mahotel nako replacement ameanza kuwa Azam hahahaha siku akija Kwèse ndio kifo cha DSTV rasmi kitakuwa kimefika