UEFA Champions League kwenye Visimbuzi vya Dstv na Canal+

UEFA Champions League kwenye Visimbuzi vya Dstv na Canal+

Star times ndio king'amuzi bora naangalia europa mechi za kimataifa ulaya fiba bundesliga frenc ligi na mengine mengi dstv nitaenda kibanda umiza kwenye mechi muhimu basi
Star times wanaonyesha hizi ligi za ulaya zinazoendelea?
 
Star times wanaonyesha hizi ligi za ulaya zinazoendelea?
Yap isipokuwa champions league na Seria a ila bundesliga ligue one copa italia europian qualifiers pro league ya belgium na mashindano mengine kama fiba na ligi ya uholanzi kifupi mi naona huwa inafurahisha zaidi na kwa bei ndogo
 
Mkuu unaweza nipa details za kuwapata canal+?
Niko mwanza uku pia wanazo offc? saiz nalipa compact+ japo wamepunguza bei ya kifurushi, ila naona canal+ wanabei rafiki Sana.
Ninacho used ambacho ni HD nauza bei rahisi 80k.

0737 740 448
 
Ila G sport waliwapelekesha DSTV,jamaa 40 elfu unapata mechi zote,baadaye wakapata mtikisiko wa uchumi,kampuni ikaanguka.

Ila siku akitokea mtu mwenye mtaji mkubwa na kumchallenge DSTV ,DSTV anapotea mazima.
 
Unataka kuleta dharau sasa kisa nimekwambia nafungaga madish?
Hii kazi nimeanza toka na miaka 15.
.
Nimetumia kigezo cha kufunga madish ili nieleweke haraka nipe kazi hiyo nije nifunge na sio kwamba sina uwezo wa kulipia 84K nitazame UEFA mimi naangalia bure sijawahi kulipia hata thumni.
.
Nina kisimbuzi ambacho napata channels zote hizo zako unazolipia 84 mimi napata bure za Azam napata bure startimes ndio hadi wakinikamata watanifungulia kesi ya uhaini
Mkuu tuwasiliane tufanye dili la kisimbusi kama vp!!!!tufanye biashara!!!
 
EPL inaendelea leo:
Leeds Vs Man City
Lakini pia Ligue 1 inarejea leo hii:
PSG, Lille, Monacho na Lyon wako mzigoni.
Jipatie King'amuzi cha Canal kwa bei poa kabisa ushuhudie mechi zote hizo sebuleni/chumbani kwako.
Decorder tupu bila kifurushi 100k
Decorder + kifurushi cha 45k ni 130k tu!
Call/SMS/WhatsApp 0629 439450
 
Hiyo Canal naipataje ndugu zangu
Kama upo Dar kuna wakala unaweza kuwasiliana naye mkaonana ana kwa ana akakuhudumia ila kama ni nje ya Dar pia tunaweza kukuagizia kwa Bus aidha kutokea Kigoma au Kutoka Dar.
0629439450
 
Mia tano Tanzania nzima ambayo yako active kwa maana wanayalipia wenye nayo.
.
Mimi namalizaga hata miezi sita sijalipia sasa mimi ni mteja active au mteja hewa?
Alafu hawana hata wateja wengi sasa kwa taarifa yako dealers wa visimbuzi najuana nao sana kwa sababu ni sehemu ya kazi yangu
Dodoma yani ukitaka udodewe na biashara nunua DSTV ukitaka uuze nunua Azam
Yaani purchasing power ya wa_Tanzania unaipima Dodoma, seriously?

Hako ka_mji kote si kanalingana na tabata tu tena kimanga, bima na barakuda hata segerea hufiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ndani ya Canal Sports
EPL inarejea: Fulham vs Chelsea
Spain: Betis vs Barcelona
Na mechi nyingine kibao...!!!
Jipatie Decorder yako kwa 100k tu. Kifurushi ni 45k tu.
0629439450
Screenshot_20230112-183211.jpg
 
#Sports Leo ndani ya Canal Plus
EPL: Fulham vs Tottenham
SERIE A: Inter vs Empoli
LALIGA: Valencia vs Almeria
CHAN: Sudan vs Madagascar
Jipatie Decorder yako ushuhudie uhondo huo kwa bei ya january!
Decorder tupu 100,000
Kifurushi 40,000
Pia tunatoa huduma ya malipo ya kila mwezi 45k tu!
0629439450
Screenshot_20230123-095208.jpg
 
#Sports Leo ndani ya Canal Plus

SERIE A: Lazio vs Ac Milan
BUNDESLIGA: Bayern Munich vs Cologne
Schalke 04 vs RB Leipzig
Hertha Berlin vs Wolfsburg
Hoffenheim vs Stuttgart
CHAN: Mauritania vs Mali
Niger vs Cameroon
Jipatie Decorder yako ushuhudie uhondo huo kwa bei ya january!
Decorder tupu 100,000
Kifurushi 40,000
Pia tunatoa huduma ya malipo ya kila mwezi 45k tu!
0629439450
 
#Sports Leo ndani ya Canal Plus

SERIE A: Lazio vs Ac Milan
BUNDESLIGA: Bayern Munich vs Cologne
Schalke 04 vs RB Leipzig
Hertha Berlin vs Wolfsburg
Hoffenheim vs Stuttgart
CHAN: Mauritania vs Mali
Niger vs Cameroon
Jipatie Decorder yako ushuhudie uhondo huo kwa bei ya january!
Decorder tupu 100,000
Kifurushi 40,000
Pia tunatoa huduma ya malipo ya kila mwezi 45k tu!
0629439450
We jamaa nitakutafuta soon, gharama za kulipia dstv ili uangalie CHAMPIONS LEAGUE NI KHATAR KWA AFYA YA WATOTO
 
Back
Top Bottom