UEFA Champions League kwenye Visimbuzi vya Dstv na Canal+

Uko mkoa gani mzee? DSTV sionkwa kila mtanzania. Ya watanzania ni continental na startimes.Hata Azam wazawa wengine wanajifosi.Ina tunaojiaminintunatumia DSTV hata kama kipato chetu sio kikubwa tunaganga hivyohivyo.
 
Mi niko hapa somewhere in Mbeya.Hapa kuna mahali huwa tunakaa vijana muda wa mechi ambazo huwezi kuangalia kwa DStv ndio tunawasha Azam.Nje na hapo ni DSTV hasa mieleka action movies na mpira.Azam kama mechi sio Yanga na simba unaangalia nini?
Ivi ushawahi kuangalia Clouds au EATV Kwenye smat tv kwa kutumia azam,wakati huo huku ukaweka channel yoyote ya DStv lazima wakwambie zima upande wa azam maana mapicha mabaya.
 
The problem wauzaji wanafanya biashara haramu ndio maana vinauzwa kwa siri
Tatizo hao wenye details za hiyo Canal+ wameatamia informations utadhani wananadi bangi.

Maswali yameulizwa hapo ila kujibiwa hadi muende chamber!

Bei, office etc
 
If you have good internet, nawe ni football maniac unaweza stream tu, ndio njia rahisi
 
Muuza madishi anataka apate wateja ale vichwa kwa kuwafungia Canal+
 
I doubt kama umewahi kuwa na decoder ya DSTV ,Kifurushi cha Compact ni Tshs 44,000 hapa utaangalia ligi za ulaya,documentary,movies,local chanel etc
 
I doubt kama umewahi kuwa na decoder ya DSTV ,Kifurushi cha Compact ni Tshs 44,000 hapa utaangalia ligi za ulaya,documentary,movies,local chanel etc
Hahaha we jamaa vipi 44K huangalii UEFA hata kwa dawa.
.
DSTV hakuna local chanel zaidi ya TBC na sio bure!
Documentary hapa hazizungumziwi
Ligi za ulaya hazizungumziwi hapa
Na movies hazizungumziwi hapa.
.
Utakuwa ndo umeamka sasa hivi haya makorokoro mimi ndio fundi wake na ninayauza hapa tunazungumzia UEFA
 
Uko mkoa gani mzee? DSTV sionkwa kila mtanzania. Ya watanzania ni continental na startimes.Hata Azam wazawa wengine wanajifosi.Ina tunaojiaminintunatumia DSTV hata kama kipato chetu sio kikubwa tunaganga hivyohivyo.
Idodomya
 
Naomba link mkuu maana nilikua napataga kule reddit ila ile thread ilishafutwa
Bahati mbaya sana mkuu situmii PC/Laptop kufanya streaming...

Huwa natumia Nvidia android box, huwa nina apps tatu za uhakika Kodi, Mobdro na Livestream player...

Sometimes huwa natumia simu then nafanya screen mirroring...
 
I dont waste my time to watch local chanel za TZ (naangalia K24,Citizen , KTN) +CNN,BBC,Al Jazira,SkyNews
Interest yangu ni football with Compact nalipia Tshs 35,000 ( nina discount ya 20% kwenye kifurushi chochote cha DSTV )naangalia Serie A,EPL,La Liga + Afcon/Euro/World Cup.
Jana nimeangalia Champions league game ya Dortmund vs Barcelona na leo kuna game ya Shakhtar vs Man City
 
Hivi unajua hata maana ya local channels?
.
Kwetu sisi K24, Citizen n.k ni international tv.
Au wewe ni Mkenya?
 
Hivi unajua hata maana ya local channels?
Au wewe ni Mkenya?
Its almost 5 years i don t waste my time to watch local channels za TZ (TBC,StarTV,Clouds,ITV,Chanel 10,Azam Tv)
Hakuna content ambazo naweza angaalia kwenye hizo channels hata ningekuwa nalipwa
 
Its almost 5 years i don t waste my time to watch local channels za TZ (TBC,StarTV,Clouds,ITV,Chanel 10,Azam Tv)
Hakuna content ambazo naweza angaalia kwenye hizo channels hata ningekuwa nalipwa
Man you don't even know the meaning of local channels.
Just say you watch only international channels
 
Nimekwambia Sina kipindi cha kuangalia kwenye hizo local channels za bongo,
Nilishapita hiyo era

Labda mafundi madishi kuna content zenu TBC,ITV, Channel 10,Star TV
Man you don't even know the meaning of local channels.
Just say you watch only international channels
 
Ukihitaji king'amuzi cha Canal+ 0764453848(King'amuzi na ufundi 195,000)
 
Tatizo hao wenye details za hiyo Canal+ wameatamia informations utadhani wananadi bangi.

Maswali yameulizwa hapo ila kujibiwa hadi muende chamber!

Bei, office etc
Changamoto. Anashindwaje kufunguka hapa
 
Vigezo vya Discount ni vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…