Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #21
tusikimbiane humu.nitakuja kwenye uzi wako maalum kwa ajili ya kutoa pole.hao Leverkusen hata ungekuwa wewe ungetoa ulimi kaka,wale watoto ni wabishi kweli mechi kubwa.
Uje na kutoa hongera pia, sasa hivi tusharekebisha makosa madogo madogo, hao Barca kwa mchezo ule waliocheza na Man City mi kwangu naona fiesta tu jumapili.
mmerekebisha defence?halafu mnamtumia sana Ronaldo kupika na kula,at least mngemtegemea kwa jambo moja tu,sasa kupika yeye,kupakua yeye,kula yeye,too much!
hahaaammerekebisha defence?halafu mnamtumia sana Ronaldo kupika na kula,at least mngemtegemea kwa jambo moja tu,sasa kupika yeye,kupakua yeye,kula yeye,too much!
Hapo hakuna kuidarau timu yoyote utakayopewa, kazi itakuwepo, natabiri robo fainali itakuwa na mabao kiduchu sana ukilinganisha na round of 16.
mkuu ubashiri wangu hapo juu umetimia