Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #21
tusikimbiane humu.nitakuja kwenye uzi wako maalum kwa ajili ya kutoa pole.hao Leverkusen hata ungekuwa wewe ungetoa ulimi kaka,wale watoto ni wabishi kweli mechi kubwa.
Uje na kutoa hongera pia, sasa hivi tusharekebisha makosa madogo madogo, hao Barca kwa mchezo ule waliocheza na Man City mi kwangu naona fiesta tu jumapili.