UEFA Champions League Quarter Finals Draw On Friday

UEFA Champions League Quarter Finals Draw On Friday

tusikimbiane humu.nitakuja kwenye uzi wako maalum kwa ajili ya kutoa pole.hao Leverkusen hata ungekuwa wewe ungetoa ulimi kaka,wale watoto ni wabishi kweli mechi kubwa.

Uje na kutoa hongera pia, sasa hivi tusharekebisha makosa madogo madogo, hao Barca kwa mchezo ule waliocheza na Man City mi kwangu naona fiesta tu jumapili.
 
Uje na kutoa hongera pia, sasa hivi tusharekebisha makosa madogo madogo, hao Barca kwa mchezo ule waliocheza na Man City mi kwangu naona fiesta tu jumapili.

mmerekebisha defence?halafu mnamtumia sana Ronaldo kupika na kula,at least mngemtegemea kwa jambo moja tu,sasa kupika yeye,kupakua yeye,kula yeye,too much!
 
mmerekebisha defence?halafu mnamtumia sana Ronaldo kupika na kula,at least mngemtegemea kwa jambo moja tu,sasa kupika yeye,kupakua yeye,kula yeye,too much!

Tumerekebisha kiungo pale, jumapili timu itacheza 4 - 4 - 2, midfielder zinakaba na kushambulia kwahiyo Ronaldo na mwenzake Benzema watakuja chini pale inapobidi tu. Lakini vile vile usisahau hiyo total football Barca alikaa Bernabeu hata Messi hakuonekana.
 
Real Madrid kaangushiwa jumba bovu duh!

Atletico Madrid vs Real Madrid

PSG vs Barca

Porto vs Bayern

Juventus vs Monaco
 
Back
Top Bottom