UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Kiujumla timu zote zilizofuzu hatua ya robo fainali nyingi ziko on fire mwaka huu japo wengine wameingilia ukongwe tu,tukiicheki EUROPA,

Anderlecht,Lyon,hawa jamaa mwaka huu wako moto usipime,
Celta vigo,Schalke 04,Man u,hawa wakawaida kabisa ambao naona SAMATTA anawaweza,mkali mwingine ni Besiktas.

UEFA
Monaco,Juventus,Bayern ni nouma mwaka huu,lkn Barca,R.Madrid,A.Madrid hawa ukongwe wa mashindano ndiyo unawasaidia japo DORTMUND kwenye mashindano haya anaonekana kuwa moto pia.
Lakini LEICESTER,kiukweli hawa jamaa ni nyota tu ya mashindano imewawakia kama EPL mwaka jana.
 
GENK ya Samatta itafika mbali sana kwani ni timu iliyo na ari na utayari wa mashindano muda wote.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hizi ndoto hizi
Ztatimia tu ngoja utaona
Unafkir mtabebwa tena


Ngoja nikae kando uz wako
Ucnisababishie tena ban
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…