Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Barcelona wanachukua UCL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kweli ukifika pale nou camp fc Barcelona wanakuwa wapo kama laki moja uwanjaniBarca atapita hapo mkuu huwa wapo 12 uwanjani
Haunifikii mimi bhana naichukia sanaHamna timu naichukia kama barca....nataman wapangwe na bayern au atletico ili safari yao iishie hapo!!
wewe homa yako ni kali kuliko wenzioHaunifikii mimi bhana naichukia sana
Hili lipo wazi, wazee wa kitonga barca ndio hatua yao ya mwisho imefika.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] naona umeandika kinyume
Naomna mungu askie maombi yetuHamna timu naichukia kama barca....nataman wapangwe na bayern au atletico ili safari yao iishie hapo!!
Labda celta vgo bI wish iwe GENK vs CELTA VIGO,mie hao CELTA VIGO naona SAMATTA anawaweza.
Hyo n lazma endapo kama,zmeingia kuanzia 3Ipo ivi wadau kwa atua ya robo fainali sheria inasema timu mbili kutoka nchi moja lazima zikutane ivyoo
Kama unaupenda mpira huwezi kuichukia Barca. Tumia akili.Hamna timu naichukia kama barca....nataman wapangwe na bayern au atletico ili safari yao iishie hapo!!
Kama unapenda mpira huwezi lazimisha watu wote waipende barca au li aseno lako!! TUMIA AKILI!Kama unaupenda mpira huwezi kuichukia Barca. Tumia akili.
Ztatimia tu ngoja utaona[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hizi ndoto hizi
Match iliyo pita walikuwa 96000+sio kweli ukifika pale nou camp fc Barcelona wanakuwa wapo kama laki moja uwanjani
Spain ziko tatu mkuuHyo n lazma endapo kama,zmeingia kuanzia 3