Siweki hela hadi group stage ipiteHaya wekeni goal goal mapema msije sema sikuwaambia 🤣🤣🤣🤣
Wamezidiwa FaniMbona wanataka kupigwa mapema hawa ufaransa
The cloud is orangeWadachi wamejaa uwanjani aisee
Nico Williams bonge la mchezaji kutokea Ghana
Mbali sana hukoHii game ipo open sana.haoa gakuna timu itakayofika fainali
Ndio mpira ulivyoMKuu hamna kitu huyo, wachezaji wa kiafrica wengi wana tatizo kwenye consistence. unaweza muona leo kaupiga kesho ukamuona meupe kabisa.