Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Sjaelewa mantiki yake, kwanini wapewe kadiNdio maana yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sjaelewa mantiki yake, kwanini wapewe kadiNdio maana yake
Kadi ni kadi mkuu kwahiyo tarajia umeme hapo hakuna mjadalaKama tayari una kadi?? Umeme?
Nadhani waliona kuna wachezaji ni walalamishi mno na wanamzonga refa kumsumbuaSjaelewa mantiki yake, kwanini wapewe kadi
Arda Guller(19)..yupo sub utamuona second halfYule bwana mdongo aliyeachia nduki matata siku ile yuko wapi leo simuoni
Watwkuja ipinga tu hiiNadhani waliona kuna wachezaji ni walalamishi mno na wanamzonga refa kumsumbua
😅 kazi wanayoHii inawafaa wachezaji walalamishi kama Captain Bruno Fernandes
Ah huyu kocha anazingua dogo mtuu yuleArda Guller(19)..yupo sub utamuona second half
Inafika muda hata hamu ya kucheki boli inapotea unaona mauzauza tu....Kama tayari una kadi?? Umeme?
Katika mechi ngapi?Huu mwaka Ronaldo kafunga goal 2 tu akiwa na Portugal.
😀😀😀🤣🤣🤣 Leo wametiwa booster hawa.
Bernado nae leo kampigia magoti pep asimloge 🤣🤣🤣