UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

20240623_220416.jpg


Vs

20240623_220427.jpg
 
Uswis wanatakiwa washinde. Otherwise, wadroo uku wanaombea Uskochi wapoteze au nao wadroo.
 
Kabl ya mechi ya leo, msimamo ni
Germany 6
Switzerland 4
Scotland 1
Hungary 0

Germany yeye ameshapita. Hata akifungwa na Switzerland ila ataanguka nafasi ya pili.

Scotland anaombea Germany ashinde, kisha yeye amfunge Hungary kwa magoli mengi au aombee Switzerland apigwe kichapo kizito.

Kwa namna yeyote, Germany na Switzerland wana nafasi kubwa ya kutangulia mbele. Scotland wakishinda, wanaweza kuwa na matumaini ya kupita kama best losers.
 
Back
Top Bottom