IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Spain mpaka sasa hatujafungwa goli lolote. Bado sijaona timu ya kutuzuia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweli ...alibugi paleAlijiharibia kutoka sare na kibonde wa kikundi
Raha ya boli usiwe shabiki wa timu wee penda mpira tuu full burudani...haya mashindano nime enjoy sana.Kama una mtoto wako na unamuona ana dalili zote za presha mkataze kabisa asishabikie mpira.
Ni mchezo katili sana.
Hii heartbreaking moment inaweza ikamuua mtu within a minute.
Hii ndio team to beat kwa kweliSpain mpaka sasa hatujafungwa goli lolote. Bado sijaona timu ya kutuzuia.
Ukiwa na passion na mpira mapenzi kwa timu fulani lazima yaje tu.Raha ya boli usiwe shabiki wa timu wee penda mpira tuu full burudani...haya mashindano nime enjoy sana.
Hatari.....leo wapenzi wa croatia wamechokaje...hapo kila muda pocha ya lile goli la italy linajirudia tuu akiliniUkiwa na passion na mpira mapenzi kwa timu fulani lazima yaje tu.
Mpira unaumiza sanaAisee mpira mchezo katili sana yani dk za mwisho mtu analia
Huwa nashangaa sana hawa wachezaji wa miaka hii roho mbaya hawana kabisa....
Hivi mtu anakokota mpira anaelekea golini kwenu na wakati huo muda umeshaisha mnahesabu sekunde tu, unashindwa nini kumchezea technical foul pale kisha ukala kadi yako ya njano halafu wakapewa hiyo freekick mkajipanga vizuri, mkaokoa kisha mpira ukaisha, ukawa umeiokoa timu yako na heartbreaking kama hii...?
Yaani mnamuacha mtu anakokota mpira anaenda kutoa assist nyie mnamsindikiza tu, halafu mnafungwa eti mnaanza kushika vichwa? Haloo Sergio Ramos asingekubali ule ujinga aliyefanya Brozovic na mwenzie.B
Brozovic ni katili dizain ya kina Pepe ila pale angepiga buti tu angekula red kwsbb tayari ana njano na ameshaonywa sana...mwenzie pia ana njanoHuwa nashangaa sana hawa wachezaji wa miaka hii roho mbaya hawana kabisa....
Hivi mtu anakokota mpira anaelekea golini kwenu na wakati huo muda umeshaisha mnahesabu sekunde tu, unashindwa nini kumchezea technical foul pale kisha ukala kadi yako ya njano halafu wakapewa hiyo freekick mkajipanga vizuri, mkaokoa kisha mpira ukaisha, ukawa umeiokoa timu yako na heartbreaking kama hii...?
Yaani mnamuacha mtu anakokota mpira anaenda kutoa assist nyie mnamsindikiza tu, halafu mnafungwa eti mnaanza kushika vichwa? Haloo Sergio Ramos asingekubali ule ujinga aliyefanya Brozovic na mwenzie.
Spain akikutana na France au Netherlands ndio utashangaa maajabu ya Mpira, hasa France hawatakuwa hawa tenaSpain mpaka sasa hatujafungwa goli lolote. Bado sijaona timu ya kutuzuia.
Katika situation kama ile unaogopa redcard ya nini na muda umeisha?Brozovic ni katili dizain ya kina Pepe ila pale angepiga buti tu angekula red kwsbb tayari ana njano na ameshaonywa sana...mwenzie pia ana njano pia
Kwenye AFcon iliyopita fainali,yule beki wa ivory cost ,alifanya hiyo,Akala red kadi yake,lakini ubigwa wamechukuaKatika situation kama ile unaogopa redcard ya nini na muda umeisha?
Kwani hata asipocheza mechi ijayo hakuna wachezaji wengine wakucheza nafasi yake?
world cup ya 2018 wakati brazil anakufa 2-1 mbele ya ubeligiji goli la pili walilofungwa ni la mazingira kama hayo, fernandinho alimsindikiza lukaku mpaka anampa assist debryne....
Ronaldo Delima alimlaumu sana Fernandinho kwamba na uzoefu wake wote alishindwa kucheza technical foul....
Huwa nawaambia na hata hapa nawahakikishia...France ikishapita hapa hakuna nchi itaifunga tena, Spain hawezi kumfunga FranceHii ndoo ya Euro anaondoka nayo Mfaransa, Hao spain mda wao unakaribia
Na leo hii hakuna anaeongelea ile redcard bali wapo wanasherekea ubingwa....Kwenye AFcon iliyopita fainali,yule beki wa ivory cost ,alifanya hiyo,Akala red kadi yake,lakini ubigwa wamechukua
Ngoja tuone.Huwa nawaambia na hata hapa nawahakikishia...France ikishapita hapa hakuna nchi itaifunga tena, Spain hawezi kumfunga France