Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 258
- 749
Sjachek game ya france, ila kama umemaanisha rafu imepigwa lango la france then mpira ukaenda kufunga lango la poland, goli wanakataa wanakuja kupiga tuta huku kama tuta ni halaliHivi kabla ya penalty ya Poland Kuna shambulio walifanya France Mbape akampa kipa je angefunga ingekuwaje? Goli lingekubaliwa au kukataliwa?