Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
-
- #3,081
Itakuwa aliitwa akagoma 😄Bora angeitwa Matio Balotteli tuone hata vituko. Maana mpira wameshindwa kucheza.
Pumbavu kabisa.
Hapo hata ukusanye wachungaji na masheikh nchi nzima🤣Tukasali rozali sasa
Den vs GerTukutane baadae.
Denmark vs Spain..
Leo hatulali?Tukutane baadae.
Denmark vs Spain..
Nawaanya sana Spain. Nawaombea watokeDen vs Ger
Andaa tu gahawa. Leo hakuna kulala.Leo hatulali?
4-3-3Italy waliingia na mfumo gani Leo?
Sikupingi😂🤸Andaa tu gahawa. Leo hakuna kulala.
Kuna mechi tatu..
Moja tumemaliza
Inakuja nyingine
Kisha ya kwetu wawili 🤣
Tukutane saa 4 hapo
😂😂😂😂huko ni kujifanya una machungu kuliko wengineHua sielewagi mchezaji akipigwa sub alafu anamind, wengine wasicheze? Tena timu ya taifa