Leo hawakutembea na back three nyuma!...wana safari ndefu basi ya kwenda, Italy ile siyo hii tena.4-3-3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hawakutembea na back three nyuma!...wana safari ndefu basi ya kwenda, Italy ile siyo hii tena.4-3-3
Na Italy atapita eti eeeGermany na Italy wanapita
Sane hamna kitu mle...
Ni Ger Vs Denmark 😊Tukutane baadae.
Denmark vs Germany
Hjulmand ni kocha kaka ulitaka kumaanisha mchezaji yupi.Denmark leo itakosa huduma ya mchezaji wao muhimu sana Hjulmand.
Kasimamishwa kwa kosa la kinidhamu la kadi za njano.
Kocha ni KasperHjulmand ni kocha kaka ulitaka kumaanisha mchezaji yupi.
Kwa Germany Kutoka Utaliwa Pesa Yako, Huyu Namuona FainaliGermany anaaga mashindano leo,
Nilimpa Switzerland na sasa nipo na Denmark.
Muda utaongea kaka naamini uko sahihi.Kwa Germany Kutoka Utaliwa Pesa Yako, Huyu Namuona Fainali
Haya sawa.Nafikiri muanzisha hii topic alitaka kuona maoni binafsi, na hiki ndicho kikosi bora nilichokiona mimi kulingana na mechi nilizoangalia zingatia neno "nilizoangalia" mechi za England,Ujerumani,Switzerland,France,Denmark,Italy,Croatia nimeangalia zote..... hao Georgia nimeangalia mechi zao mbili tu hii ya mwisho sikuiona.
Na pia mimi sio muumini wa "collective thinking" mnaionesha hapa napendaga kuwasalisha jambo kutokana na utashi wangu.
Refa huyu timu zote zitatoka zimemaindPilato ni Oliver Michael kutoka kwetu 🤣🤣🤣 England