UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Niliacha game la Italy 1st half nikawa busy kumuelezea mtu kua Messi hawezi kucheza ili kombe, na Man U hawamo kwenye hii michuano,, naacha ilikua page ya 150 narudi game la Germany nakuta 157
Waitaliano walitukimbia bana
 
Niliacha game la Italy 1st half nikawa busy kumuelezea mtu kua Messi hawezi kucheza ili kombe, na Man U hawamo kwenye hii michuano,, naacha ilikua page ya 150 narudi game la Germany nakuta 157
Hahahhaahha kaelewa lakini? Au mpaka kiboko kilitumika?
 
Back
Top Bottom