najua sio wa serikali. kwani kufunika si ni kwa emergency kama hizi kisha zinawashwa AC.Huo ni uwanja wa club haumilikiwi na serkali
Viwanja vya kufunika havipendelewi sana na mashabiki
Km unakumbuka ufaransa walijenga 98wakati wa world cup ila mashabiki hawakuonekana kupenda sana
Niko upande wa Austria mwanzo mwishoKwenye haya mashindano austria na gorgia zimeinyesha mpira wa kuvutia sana
Wachezaji wanalipwa pesa nyingi sioni haja ya kuweka paa uwanjaninajua sio wa serikali. kwani kufunika si ni kwa emergency kama hizi kisha zinawashwa AC.
Yule babu ameifanya timu ina flow vizuriNiko upande wa Austria mwanzo mwisho
SanaYule babu ameifanya timu ina flow vizuri
Italy siku zote mafanikio yao huanzia kwenye ukuta imaraItaly kumbe kanyolewa cleansheet